Shair la dua marhum shekh juma
.. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Ijumaa njema imetimu Nayakumbuka yazamani Aliyafanya yamuhimu Pale mitunduruni Shekh huma marhumu Sito msahau asilani *Ewe mola mrehemu Shekh wetu JUMA mpondoo* Siku kama ya Leo Hawakosi kusanyika Wakifanya maendeleo Kwa matendo yalotukuka Dhikiri zenye cheo Nyumbani kwake ukifika *ewe mola wetu mrehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Alitujuza yamuhimu Akatutoa kizani Alikirimiwa nakarimu Akapewa macho ya nyoyoni Alitujuza umuhumu wakusoma qur.ani *ewe mola wetu mrehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Naikumbuka Siku moja Alikua nyumbani kwake Alikuja MTU mmoja Akasema shida yake Anataka elfu moja Ahudumie family yake *ewe mola wetu mrehehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Akaagiza elfu tano Apewe MTU yule Napaketi yangano Watoto wake wakale Akanyanyua mikono Nakushukuru palele *ewe mola wetu mrehem Shekh wetu JUMA mpondo* ikaf...