Machapisho

Kisa cha khidhri by dr hud hud

Khidhri Jina Khidhri hutafsiriwa kwa maana ya “mtu wa kijani” likinasibishwa na neno al-akhdar la Kiarabu lenye maana ya kijani. Katika Hadith, Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, anasema, “Mtu huyu alipewa jina hilo la Khidhri kwa sababu alikaa katika nchi kame, isiyoota kitu, tahamaki ikageuka kuwa ya kijani chini yake.” Rai ya Maulamaa wengi wa Kiislamu ni kwamba Khidhri alikuwa ni Nabii. Qur’an inamzungumzia kama ni mmoja wa waja wa Mwenyezi Mungu waliojaaliwa ilimu, mafuhumu na rehema. “Basi wakamkuta mja miongoni mwa waja Wetu Tuliyempa Rehema kutoka kwetu na Tuliyemuelimisha ilimu zinazotoka Kwetu.” (18:65) Kutokana na Hadith za Mtume Muhammad, swallallahu alayhi wa sallam, ndipo tunapofahamu kwa uhakika kuwa mtu huyo mwenye hikima na ilimu aliyeongozana na Musa na kumfunza mambo mbalimbali alikuwa ni al-Khidhri. Waislamu wanaamini kuwa jamii zote za Mataifa katika vipindi mbalimbali vya historia zilishushiwa nabii mmoja au mwingine...

Shair la dua marhum shekh juma

.. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Ijumaa njema imetimu Nayakumbuka yazamani Aliyafanya  yamuhimu Pale mitunduruni Shekh huma marhumu Sito msahau asilani *Ewe mola mrehemu Shekh wetu JUMA mpondoo* Siku kama ya Leo Hawakosi kusanyika Wakifanya maendeleo Kwa matendo yalotukuka Dhikiri zenye cheo Nyumbani kwake ukifika *ewe mola wetu mrehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Alitujuza yamuhimu Akatutoa kizani Alikirimiwa nakarimu Akapewa macho ya nyoyoni Alitujuza umuhumu wakusoma qur.ani *ewe mola wetu mrehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Naikumbuka Siku moja Alikua nyumbani kwake Alikuja MTU mmoja Akasema shida yake Anataka elfu moja Ahudumie family yake *ewe mola wetu mrehehemu Shekh wetu JUMA mpondo* Akaagiza elfu tano Apewe MTU yule Napaketi yangano Watoto wake wakale Akanyanyua mikono Nakushukuru palele *ewe mola wetu mrehem Shekh wetu JUMA mpondo* ikaf...

Shairi la tauhid

. *TAUHIIDI NDIO DINI TUSIJE IVUNJA DINI YETU* .. Yuu pwekee yeye mola Tena hana mshirika Asie kunywa wala kula Tena aametukuuka Hana yeye wa mbadala Atumikiwa namalaika *Tauhidi ndio dini tusiivunje diniyeetu* Ameumba kila kitu Tena yeye hakuchoka Zimesimama mbingu bila kitu Hakuna alozishika Kaumba majini nao watu Nawale wa so fahamika *tauhidi ndio dini tusiivunje dini yetu* Wana hekima niwaambieni Tauhiidi tumefunzwa Tena tusije ua imani Peponi tuakaja fukuzwa Tuzidishe zetu imani Peponi tuje ingizwa *tauhiidi ndio dini tusiivunje dini yetu* Hana mshirika mola wetu Wala yeye hana mfano Ametukuka mola wetu Haiitaji mashindano Tusimshirikishe mola wetu Tukaja kipata kibano *tauhiidi ndio dini tusiivunje dini yetu* Yaa ilahi mola wetu Bariiki wana hekima Tufutie makosa yetu Utujaze nayo hekima Tukumbatie dini yetu Tusije iwacha nyuma *TAUHIIDI NDIO DINI TUSIIJE IVUNJA DINI YETU*

Sumulizi twabibu wakiroho

. ... *SEHEM YA:10* Twabibu Wakiroho mtunz hud HUD Ilipo ishia Mama akiwa analia juu ya mwanae dhulfa alisema mengi akijiona ni mwenye  matatizo yalianza kwasabrina sasa ni dhulfa yamekua afadhali ya Sabrina maana haya yamempoteza kabisa dhulfa.  Kwaupande wa baba yeye mawazo yake hayakuapo kabisa kwa dhulfa muda mwingi alishika kipande chaskio kikicho bakia baada ya ku nyofolewa na BINT yake Sabrina Sasa endelea.... wakati watatizo lakini alihis maumivu lakin alivumilia . *tumtafuteni twabibu wakiroho anaweza kutusaidia mbona alimsaidia sabrinina* Alisema mmoja wa ndugu *Ndio yule ustadh anaweza kutusaidia* Akajibu mwingine *sawa jamani angalau nimpate mwanangu jamani* Akasema mama kwa uchungu mwisho wakakubalina wamtafute ustadh hud hud popote alipo Kwa mzee jangalo Japo usiku uliingia na alikua kisha panda kitandani kwake  Lakin hakupata usingizi mapema aliwaza kesho ni ijumaa siku zina kwenda akiwa na ham pakuche arudi kule aliko hakikishiwa kupata anac...

Simulizi twabibu wakiroho

. *SEHEM YA 9* Twabibu wa kiroho Mtunz HUD HUD Ilipo ishia Kisha akasema kumwambia BINT *a anti Aasia* (Je wewe ni Asia?) *naam anaa huwa* (Ndio mimi ndie) Bint akajibu kisha akauliza *hal taarifuni walaa ahadun yaarifu ismii Ila anaa wa abii* .(je wanifaham kwani hakuna ane jua jina langu zaidi ya mimi na baba yangu ) ustadh akasogea karibu kisha akamwambia Sasa endelea..... *ka annaki laa taarifu Anna llah aalimu  alaa kulli shay iin. Li .annahu huwa l khaaliqu* (Kana kwamba we hutambui yakua allah anajua kila kitu kwakua yeye ndie muumbaji) Maneno mazito yalimfanya binti kumtizama kwaumakini kabla hajasema chochote ustadh akasema *naam ra aituki fil manaami wa anti taqraiinal qur anwa araftu ismuki* (Naam nimekuona usingizini(kuota) ukisoma qur ana na nikafahamu jina lako) *shukran wa zaadaka llah ttaqwa* (Ahsante na azidishe mungu uchamungu kwako)  Bi Asia akajibu nakugeuka nakurudi ndani Hall akimuacha ustadh nje yanyumba Mara mzee Abdul raashid (baba...

Simulizi twabibu wakiroho

... *SEHEM YA 8* Twabibu Wakiroho Mtunz HUD HUD Ilipo ishia.. Majibu hayo yalimfanya mzee kua namawazo tele.  Kwani aliwaza kesho kutwa ndio jumamosi  itakuaje   wakati anawaza hivyo Mara kundikubwa LA mifugo lilikua likiingia katika zizi kubwa lanyumba hiyo mzee alipo tazama kwamakini aliona wanyama aina nyingi  ng'ombe mbuzi kondoo punda sungura na wanyama wengine asio wajua ajabu pamoja nakundi kubwa lakini halikua namtu liliingia lenyewe zizini nabinti akafunga mlango ... Sasa endelea ... Mze alitizama akajiuliza amswali mengi lakini hakupata jibu akajikuata akigeuza nakuondoka Mara alaskia sauti ikimwabia *kama unashida namfugo babayangua anauza* Mzee alipo skia hivyo kwaharaka akageuka nakuuliza *baba yako yuko wapi* bint akamjibu *amekwenda kutafuta futari shambani* *ftari ndio nin* akauliza mzee *chakula kwajili yakula maghribi kwani we si mwisla hufaham kua tupo katika mfungo wara madhani* Bint alijibu nakuuliza *ah sawa bint yangu mda ga...

Simulizi twabibu wakiriho

... *SEHEM YA 7* Twabibu Wakiroho Mtunz HUD HUD Ilipoishi wanakijiji waliogopa sana msitu huo.   Familia ya dhulfa walibaki katika kilio hali hawajui nini wafanye wakibaki pale karibu na msitu mpaka paka kucha na mwanga ukajitokeza wakastaajabu kuona damu nyingi mno namichirizi wakaifuata mpaka nyumbani walistaajabu kuona kumbe dhulfa kabla ya kumkamata mbuzi akianza na paka na alimtafuna akabakisha kichwa Hakika dhulfa alibadilika nahakua binadamu tena Sasa endeleaa...... Alipotelea msituni na hapakua na matarajio yakumpata Kwamzee jangalo Yeye Leo aliamua tena kutembea maeneo mbali mbali ili aweze kupata wannyama alo wahitaji  katika tembea yake alikuta mahala kibao kimendikwa *mnada mkubwa wamifugo hapa* Akasogea mpaka katika nyumba moja akaskia kwaupande wadirisha dogo sauti ikiimba kwauzuri wasauti ile akajisemea mwenyewe *kweli katika maisha yangu sijawahi kuusikia huu wimbo* akasogea mpaka mlangoni akagonga mlanga maranyingi asiitikiwe akaamua kupaza nasa...