Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2017

Kupunguza tumbo

Mchanganyiko wa Kupunguza Tumbo Haraka: http://youtu.be/rG-4QXDPg3k

Kitambi na sababu zake

Picha
MAFUTA   ya tumbo yanayofanya mtu kuwa na kitambi ambacho hukusanywa kwa njia kuu mbili : Njia ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k SABABU ZA KUPATA KITAMBI Sababu kubwa ya mtu kuwa na kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu (kalori) katika mwili wa mwanadamu, hali inayosababishwa na mtu kula vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka mwili. VYAKULA VINAVYOCHANGIA KULETA KITAMBI Vyakula vinavyochangia kuleta kitambi ni pamoja na vile vyenye mafuta mengi kama vile nyama nyekundu, nyama ya kuku wa kizungu ( iwe ya kuchemsha, kukaanga ama kuchoma ), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi na jibini), viazi ya kukaanga kwa mafuta maarufu kama chips pamoja na pizza. Vingine ni vyakula vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi uliokobolewa, mihogo, wali, mkate mweupe na vinywaji vyenye sukari nyingi iliyo...

Kuhusu kitambibkw wanaume

Picha
. MAFUTA   ya tumbo yanayofanya mtu kuwa na kitambi ambacho hukusanywa kwa njia kuu mbili : Njia ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k SABABU ZA KUPATA KITAMBI Sababu kubwa ya mtu kuwa na kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu (kalori) katika mwili wa mwanadamu, hali inayosababishwa na mtu kula vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka mwili. VYAKULA VINAVYOCHANGIA KULETA KITAMBI Vyakula vinavyochangia kuleta kitambi ni pamoja na vile vyenye mafuta mengi kama vile nyama nyekundu, nyama ya kuku wa kizungu ( iwe ya kuchemsha, kukaanga ama kuchoma ), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi na jibini), viazi ya kukaanga kwa mafuta maarufu kama chips pamoja na pizza. Vingine ni vyakula vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi uliokobolewa, mihogo, wali, mkate mweupe na vinywaji vyenye sukari nyingi ili...

Jins ya kupunguza tumbo kwa wanawake

Picha
. JINSI YA KUONDOA AU KUPUNGUZA MAFUTA TUMBONI KWA WANAWAKE Wanawake wengi miaka ya karibuni wanakabiliwa na tatizo linalofanana na kitambi kwa upande wa wanaume. Hivyo ingekuwa ni wanaume tungesema ni kitambi ambalo nalo ni tatizo kubwa miongoni mwa wanaume wengi nyakati za sasa. Kinachowasumbuwa wanawake siyo kitambi tunasema ni mlundikano wa mafuta sehemu ya chini ya tumbo na tumbo kwa ujumla kufikia hali kuonekana kama ana tumbo kubwa au kuhisi labda ni ujauzito kumbe ni mafuta tu mengi. Kwa ujumla ni vigumu sana kupunguza tumbo la namna hii, hivyo kwenye post hii pamoja na mengine tutaona pia visababishi vya tatizo lenyewe, dawa za asili zinazoweza kuondoa tatizo hilo na aina ya maisha unayotakiwa kuishi ili ufanikiwe kirahisi zaidi bila kukuachia madhara mengine yoyote. Nini kinasababisha tumbo kwa kina mama: *Vyakula feki (Junk food) *Kutumia vyakula vya wanga kupita kiasi *Kutokunywa maji ya kutosha kila siku *Kula chakula kizito muda mchache kabla ya kwenda kulala *Ku...

Uzazi wa mpango

KWA USHAURI MZURI TUMIA TIBA ISIYO NA KEMIKAL DAWA YA ASILI YA UZAZI WA MPANGO Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na mtoto ni wakati mzuri sana katika maisha na unatakiwa kuwa ni wakati uliokubalika kwa wazazi wote wawili kuamua kuwa ni kipindi cha kuwa na kulea mtoto Ili kuepuka mimba zisizotarajiwa wanawake wengi huamua kutumia vidonge vya kuzuia ujauzito (Vidonge vya uzazi wa mpango/majira). Vidonge hivi huwa na madhara mengine mabaya hapo baadaye vikitumika kwa kipindi kirefu. Zipo dawa za asili kadhaa nyingi zaidi ya 20 ambazo zinaweza kutumika kama njia za kuzuia ujauzito usiotarajiwa bila kukuachia madhara yoyote mabaya.  Dawa hizi ama zinazuia urutubishaji wa yai moja kwa moja au huweza kukusababishia kuona siku zako na hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa mjamzito. Nimekuandalia dawa asili nne kwa ajili hii ambazo nimeona zinapatikana kir...

Namna ya kupata mtoto wa kike au wa kiume

Uzazi . MTOTO WA KIUME AU WA KIKE ANATOKEAJE? Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana FAHAMU SIFA ZA CHROMOSOMES X na Y za mwanaume Ili uweze kufanikiwa kuchagua mtoto wa kiume au wa kike lazima ujue sifa za chromosomes hizi zinazoamua jinsia ya mtoto SIFA ZA CHROMOSOMES Y 1.Zina spidi  kubwa sana kwahiyo kama yai lipo tayari zenyewe  zitawahi kwenda kurutubisha 2.Zina maisha mafupi sana kulinganisha na X SIFA ZA CHROMOSOMES X 1.Zina spidi ndogo sana  2.Zina maisha marefu kulinganisha na Y  Baada ya kujua sifa za chromosome ambazo ndo zinatusaidia kuamua jinsia twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kupata mtoto wa jinsia unayotaka MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA  1.Lazima mwanamke ajue ...